25 July 2015

Hii ni tweet ya Martin Kadinda baada ya Wema Sepetu kushindwa viti maalumu Singida.

Wema Sepetu bahati imekuwa sio yake, baada ya kushindwa katika uchaguzi wa viti maalumu katika mkoa wa Singida.
wemaa-na-kadinda
Meneja wa Wema sepetu ameandika kuhusu kushindwa kwa Wema Sepetu katika uchaguzi huo…Katika Mtandao wa Twitter Martin Kadinda ameandika “Haikuwa vile tulivyotarajia… Hongera Aysharose Mattembe”.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname