Usiku wa kuamkia leo kulukuwa na utoaji watuzo za MTV ambapo Diamond
Platnumz..Katika mitandao watu mbalimbali wamepost wakimpa hongera
Diamond kwa ushindi huo.Picha hii hapa chini imezua maswali mwengi kwa
mashabiki wa Diamond Platnumz.
Picha hii iliwekwa na Babu Tale katika Mtandao wa Instagram na aliandika “Unaweza
kudanganya watu kwa mda mfupi..lakini huwezi kudanganya watu wote kwa
mda wote..ahsante MTV kwa kutambua kipaji na juhudi zetu“.
Nini Maoni yao kuhusu picha hii, Je ni sawa kwa Diamond Platnumz kuonyesha kidole hicho kwa utamaduni wa kitanzania? au sio sawa
Mhhh, hii picha inashusha kwa kiwango kikubwa sana profile ya msanii huyu ambaye ana heshima kubwa na kubeba bendera ya nchi. Anahitaji kupata mshauri wa kujielewa kuwa yeye ni nani. lakini picha hii bado itaendelea kudumu kwa kipindi kirefu katika files za wadau wengi ambao wataitumia kummaliza nayo kila atakapotaka kuonekana msafi ndani ya kioo cha jamii.
ReplyDeleteAsimame haraka kuomba msamaha juu ya tendo hili kwani impact yake ni mbaya katika future ya huyu dogo.