Timu ya Toto Afrika imemsajili mwanamuziki maarufu ncchini "H-BABA"
kuweza kuongeza safu ya mashambulizi katika ligi ku ya VODACOM.
Timu hiyo imeweza kumsajili mchezaji huyo mara baada ya kiwango chake kumvutia kocha wa timu afaamikaye kwa jina la John Tegete,
H-BABA aepata nafasi ya kusajiliwa katika timu hiyo mara baada ya nafasi
yake kusajiliwa na timu ya AZAM kugonga mwamba. Mapema katika kipindi
si kirefu timu ya AZAM ilionyesha nia ya kumnasa mchezaji huyo lakini
kwa bahati mbaya vigezo vyake havikuwaridhisha timu hiyo na hatimaye
kuitwa na Toto Afrika
No comments:
Post a Comment