22 July 2015

Davido AKUBALI KUFANYA collabo na Ali Kiba

 davidooo
Davido asema Tanzania ni nchi ya pili kuichukulia kama nyumbani ndio maana alipost bendera ya Tanzania hivi karibuni.
Davido ambaye ameshinda tuzo ya msanii bora wa kiume kwenye Mtv Afrika Music Awards amemtaja Ali Kiba kama msanii anayefata kwenye orodha ya wasanii atakao fanya nao kazi Tanzania.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname