11 July 2015

BREAKING NEWZ...Hawa ndio wagombea watatu walio chaguliwa na NEC kinyang'anyiro cha urais CCM

Kikao cha HALMASHAURI KUU YA TAIFA (NEC) kimekamilika na kufanikiwa kuwateua wagombea wake 3 ambao ni John Magufuli, Asharose Migoro na Amina Salum Ali.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname