16 July 2015

BLOGGER MAARUFU ATIWA MBARONI NA JESHI LA POLISI DAR


Blogger Mange Kimambi wa u-turn Blog ametiwa mbaroni na Jeshi la Polisi leo jijini Dar es Salaam.
Polisi wamemkamata wakati ameenda kuchukua fomu ya kutia nia kuomba
ridhaa ya kugombea ubunge kwenye moja ya majimbo ya jiji la Dar.
Mpaka sasa yupo mikononi mwa Polisi akihojiwa kuhusu mienendo ya uendeshaji wa blogu yake na mitandao mingine

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname