Na Famau wa BBCSisi waandishi wa BBC tuliopo hapa mjini Dodoma tunakana taarifa zilizoenea kwamba Edward Lowasa ameongea na BBC asubuhi hii nakuiambia kwamba ana mpango wa kuhamia ACT.
Tunakana taarifa hiyo ambayo inadaiwa kuchapishwa katika mtandao wa BBC. Kwa niaba ya wenzangu, mimi Aboubakar Famau
BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI
No comments:
Post a Comment