Chris brown hatimaye ameachiwa kuondoka nchini ufilipino
baada kuzuiwa na uhamiaji wa nchini humo kwa madai ya kutotokea kwenye
show ya usiku wa mwaka mpya ambayo alikua amelipwa tayari, waandaji wa
show hiyo walimshitaki Chris brown na kuomba serikali isimruhusu
kuondoka hadi atakapo lipa pesa yao.
Chris brown ameweka video kwenye mtandao wa Instagram akiondoka Nchi humo,
Mapema leo Chri brown alipost hii picha akiomba aruhusiwe kuondoka, alimwomba raisi Obama amsaidie pia.
No comments:
Post a Comment