17 July 2015

ALIYEMSUKUMA WEMA SEPETU KUGOMBEA UBUNGE AJULIKANA


Wema Sepetu na Mama yake.
Erick Evarist
MADAM Wema Sepetu ameweka bayana kuwa mtu aliyemsukuma kujiingiza kwenye siasa ni marehemu baba yake, Abraham Sepetu.
Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Wema ambaye juzi alitarajiwa kuchukua fomu ya Ubunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, alisema marehemu baba yake alimpa wazo hilo miaka mitano iliyopita.
Wema Sepetu ‘Madam’ katika pozi. 

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname