Katika tukio lingine lililotokea Jijini dar....matanki mawili yenye ujazo wa lita 5,000... Jana yalidondoka Mjini Mitaa ya Indhira /Ghandhi kutoka juu ya jengo la ghorofa 13 na kuvunja nyumba ya Jirani...!!
Tanki hizo zilikuwa zinafungwa juu ya ghorofa ilo na matanki hayo alikuwa ayajawekewa vizuizi vyovyote na mkandarasi....
Naomba kuuliza wadau....,Matanki ya lita ngapi yanahitajika kwenye na kuruhusiwa kisheria Juu ya Maghorofa...?? na kwenye tukio kama hili nani awajibishwe...?? CRB,MKANDARASI AU MMILIKI WA JENGO? |
No comments:
Post a Comment