28 June 2015

ZARI BIG BOSS LADY UVUMILIVU WAMSHINDA AAMUA KUWALIPUA WABAYA WAKE


Shemeji yetu Zari ambaye ni mrembo kutoka Uganda ambaye toka amekua mapenzini na Mtanzania staa wa bongofleva Diamond amekua akipokea comments tofautitofauti kwenye page yake ya Instagram, June 28 2015 ameamua kuyaandika haya tena mengine kwa kutumia lugha ya kiswahili baada ya kushindwa kuvumilia.
Waliomkasirisha ni wale wanaokosoa uvaaji wake na kuendelea kumfatilia ambapo alianza kwa kuandika >>> 


No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname