28 June 2015

ZARI BIG BOSS LADY AJIPIGA PICHA AMAIZING KUMWONESHA DIAMOND PLATINUMS


Mwanamama mkali wa urembo wa sura na mguu wa bia Zari the boss lady amejipiga picha amaizing na gauni lake la mtoko kumwonesha kipenzi cha Chibu Dangote.Picha hizo zikionesha sehemu ya mguu kupandisha kwa juu ni za hatari kwa watu wenye umri chini ya miaka 18 kuona.Huku mguu wa kushoto ukiwa na tatoo kali kwa mbaali na pozi la kunyanyua kamguu kiaina.  

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname