Kila shabiki huwa na hisia zake pindi timu anayoipenda inapokua ikicheza na mara nyingi tumeshuhudia watu wakitoa hadi mbalimbali endapo timu yake itaibuka na ushindi ama la.Kuna hii stori ya mtangazaji wa habari za michezo huko Venezuela imenifikia mtu wangu,,yeyealiwaahidi mashabiki kuwa endapo timu yake ya Venezuela itaibuka na ushindi basi atavua nguo zake mbele ya camera.Sasa baada ya mchezo kumalizika kati ya Venezuela ambayo iliibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Colombia katika mashindano ya Copa America yanayoendelea, mtangazaji huyo alitimiza ahadi yake ya kuvua nguo mbele ya camera wakati akitangaza.
No comments:
Post a Comment