Staa wa muziki kutoka Nigeria Davido amemaliza kurekebisha nyumba
yake iliyopo Atlanta, Georgia huko Marekani. Nyumba hii imeripotiwa kuwa
na gharama ya pesa za Nigeria Naiea milioni 33.
March mwaka 2015 Davido alisema anatafuta nyumba Marekani. Album yake mpya ‘The Baddest’ inatoka June, 2015.
No comments:
Post a Comment