26 June 2015

MSHTUKO MKUBWA! VIFO MASTAA BONGO KUTIKISA UPYA!

 
Miss tanzania 2006 na muigizaji wa Bongo movie Wema Sepetu.
MSHTUKO! Wakati wimbi la wasanii Bongo likizidi kuwa kubwa katika kutangaza nia ya kuwania nafasi mbalimbali za uongozi kwenye siasa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, mwaka huu, mtabiri maarufu nchini, Maalim Hassan Yahya Hussein amefunguka mazito juu ya vifo vya mastaa hao kutikisa upya huku wale watakaosalia wakipata nafasi za uongozi.
Staa wa bongo movie Steven Mangele ‘Steve Nyerere’ 

BOFYA KUSOMA YOTE ====>>

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname