28 June 2015

MSANII WA BONGO MOVIE AWATUKANA MASHABIKI MATUSI MAZITO.


Niva msanii wa filamu za kibongo katika hali isiyo ya kawaida ametukana matusi mazito mashabiki wanaokosoa ubora wa filamu na viwango vya wasanii nchini.Matusi hayo yasiyo wezekana hata kutamkwa wala kuandika hadharani hii ni kudhihirisha tasnia hiyo imejaa watu wasio na ujuzi wa kufahamu jinsi ya kwenda sawa na mashabiki wao.Baadhi ya matusi hayo ni viungo vya siri vya jinsia ya kike na majina ya wanaume wasio marijari.
Uwa inafika mahala tuna choka. Alafu utasikia w-------ge wana sema movie zenu mbaya k-------zao. Ukitaka kunitibua izalau kazi yangu nawapa sarut kwa wale wote wanao kubali kazi zetu mnao jifanya mnapenda za kizungu nawapa --------- kati wote."

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname