25 June 2015

LADY JAY DEE AFUTWA MACHOZI AVALISHWA PETE

Nimekuletea picha hizi zikithibitisha Jide Kuvishwa pete..japo mpaka sasa hajajulikana aliemvalisha pete ni nani....Moja ya Couple za mastaa zilizokuwa maarufu ni ile ya Gadner na Msanii maarufu wa tanzania ajulikanae kama Lady
Jaydee, Lakini mapenzi hayo yaliisha baada ya kutokea mambo ambayo mpaka sasa hakuna anaejua ukweli zaidi ya hao wawili.  



No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname