28 June 2015

DIVA WA CLOUDS FM AWATUKANA TUSI ZITO WANAOSEMA HAWEZI UBUNGE.

Diva Loveness Love akiwa mwanamke pekee kuonesha nia ya ubunge tangu miaka kadhaa ya uchaguzi mkuu kukaribia,Hivi karibuni alijinadi akidai muda umefika wa kutendea haki nia hiyo.Leo amedai maoni ya watu asilimia sabini
wana muunga mkono,asilimia thelathini wanadai hawezi jukumu hilo  

BOFYA HAPA KUSOMA YOTE

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname