24 June 2015

ALI KIBA AJICHANYANYA KWENYE DALADALA TENE LEO JIONEE HAPA


June 23 2015 staa wa Muziki Tanzania, Ali Kiba aliingia kwenye headlines nyingine ambapo kiukweli sio kitu cha kawaida sana kwa mastaa kukifanya… sio kawaida kukutana na staa amepanda daladala, lakini Ali aliona hiyo itakuwa njia poa kuwapa surprise mashabiki wake nao wapate nafasi ya kupiga nae stori mbili tatu !

Surprise ilianza jana na leo imeendelea pia… Safari yake leo ilianzia maeneo ya Kariakoo mpaka Manzese, alafu akaingia kituo kipya cha daladala cha Mawasiliano na safari ikaendelea mpaka Makumbusho.


Ali Kiba akishuka kwenye daladala 


BOFYA KUONA PICHA ZOTE ZA ZIARA YA ALI KIBA LEO ====>>

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname