28 June 2015

ALI KIBA AANZA KUJIBU MASHAMBULIZI VIDEO YAKE KUZINDULIWA TRACE TV.



Kile kichupa kilicho kuwa kikisubiriwa kwa muda mrefu toka kwa Ali Kiba mfalme mwenye kiti kilichokosa mfutaji vumbi na kukikalia jumatatu anazindua video hiyo kupitia chanel ya trace na nyinginezo nchini.Huu ni mwanzo wa kujibu mashambulizi ya video kali kwenye gemu la muziki kwa sasa.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname