WEMA SEPETU, AUNT EZEKIEL KIMENUKA MBAYA! KISA ZARI WA DIAMOND!
KIMENUKA! Mashosti wa kufa na kuzikana, Wema Isaac
Sepetu na Aunt Ezekiel Grayson wanadaiwa kugombana baada ya Aunt
‘kuposti’ kwenye ukurasa wake wa Instagram tangazo lililohusiana na pati
ya mwandani wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah
Hassan ‘Zari The Boss Lady’ iliyofanyika Mlimani City jijini Dar
wikiendi iliyopita.
Mashosti wa kufa na kuzikana, Wema Isaac
Sepetu na Aunt Ezekiel Grayson. Kwa mujibu wa mtu wa karibu wa mastaa
hao wa sinema za Kibongo, baada ya Aunt kuposti tangazo hilo akiwalaumu
watu wa mtandao wa huduma za simu waliomtumia ndipo Wema akaona na kuja
juu.
Ilielezwa kwamba baada ya Aunt kutupia picha ya tangazo hilo,
Wema alichukizwa na kitendo hicho huku akimuona Aunt kuwa amemsaliti.
Aunt Ezekiel Grayson. Ilisemekana kwamba katika utetezi wake, Aunt SOMA ZAIDI>>
No comments:
Post a Comment