05 May 2015

WEMA SEPETU AANDIKIWA UJUMBE MZITO NA MASHABIKI WAKE!!,SOM HAPA

Kwa mashabiki wa Wema Sepetu na Diamond Platnumz. Hawa wawili ni wasanii wetu wanaokubalika nchini, kila mmoja kwa namna yake na kila mmoja ana mashabiki wake. Waliwahi kuwa wapenzi lkn mambo hayakwenda kama mashabiki na wao walivyotaka wakaamua kwa amani kuachana. Lakini bado  wanaheshimiana na hata familia zao zinaheshimiana. Na Wema Sepetu bado anamsapoti Diamond ni msanii wake wa kwanza nchini anayependa kazi zake.

Mpaka hapo, ukishaelewa hayo huwezi kupata ujasiri wa kuwatukana kivyovyote. Hupendi hawako pamoja? Basi support yule unayempenda au kama unawapenda wote wawili endelea kuwasapoti sio kosa lako hawako pamoja! Ni kwa faida  yao nzuri tu yenye nia njema. Heshimu mawazo yao...

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname