22 May 2015

U-TURN BLOG:- YAMSHUKIA KIROHO MBAYA MISSY TEMEKE


SOURCE:- U-TURN BLOG:- MISSY TEMEKE NI KIUMBE WA AJABU SANA ………..

Huyu mtu mzima ovyo nimeona tumshushe chini huku maana anatupotezea time…
Eti now kaweka account private…kha!!! aibuuuuuuu, utajikausha ila ndo watu washakujua…aibuuuuuu……
Za leo? mie nishazoea kutukanwa huko instagram  yani nachofanya siku hizi ni kublock tu hizo account ili nisisome
maana nna roho ndogo nikisoma tu najua ntaandika magazeti hapa mwisho wa siku nijikute na dili na wale wale vichaa wetu wa kila siku
badala ya kudeal na CCM…LOL….
So last week kuna account huko insta inaitwa WHO_IZ_THE_BOSS
Uwii last week alinipa vidonge vyangu, niliona rangi zoooooote….hahahha
Alafu sasa ananichamba na kunitag kabisa mpaka nikamblock na bado akaendelea..Aliniwekea kama post 3 hivi nakwamba
jamani mwanamke alichambaaaa kha….. Hiyo yote eti yeye mwenye account ni team ZARI na mie ndo siku hiyo
niliweka ile story ya ZARI na Katunzi…. Kha, hasira akanimalizia utadhani mie ndo niliempeleka Zari akachune kwa Katunzi…hahhahaha
Basi bwana, juzi balaa la missy temeke lilivyoibuka huko facebook kuna mtu hapa akatuma comment kuwa mwenye account ya who iz the boss ni missy temeke. Mie nikahisi itakuwa ni mtu anaegombana nae anataka kumgombanisha missy temeke na watu. Zikatumwa comment zingine zinasema hivyo hivyo nikasema mmh, embu nikachungulie tena ile account…BASI nikasoma vichambo anavyochamba insta kwenye ile account nikafananisha na matusi aliomtukana dadake Wema facebook nikapata kama butwaaaa, yani ni michambo ile ile huulizi mwandishi nani….
Ila still nikasema sikurupuki ngoja kwanza nimwingie kistaarabu… Jamani mie na Missy Temeke tunaheshimiana sanaaaaaaaa, huki insta tunacomentiana yani nampaga macomment kibaooo ya mapicha yake na shoga zake…yani hivyo. Na rafiki zake wa karibu kama Salma ndo kabisaaa niko nae karibu mnooooo yani Salma mtu wangu wa nguvu….So sikutaka hata kufikiria huyu Missy Temeke anaweza fanya hivi
Basi nikamwingia kama mnavyoona hapo juuu… na yeyye akajibu hivi…..
Sikumjibu tenaaaaaaaa, Sasasa kumbukeni nilimpiga mkwara kwamba nampa  3 hrs  la sivyo gazeti la mzalendo atakalikuta humu atajuta….lol…..
Basi  kajiongeleshaaaa , mie kimya, eti sijui nani ndo anamframe, yani in short hayo majibu yake ndo yalinifanya nikajua 100% kweli ni yeye
ndo mwenye hiyo account…Eti nimpe muda sijui atafanyia kazi sijui ujinga gani

Akaweka na tangazo facebook la kumpa warning huyo anaefanya mie nidhani yeye ndo mwenye account,akanikopi kabisa hiyo status akanitumia…
Huyu mwanamke anadhambi jamaniiiiiiiiiiii, hapana, missy Temeke ni mtu mbaya mnooooooooooo, sio binadamu huu….
Imagine kaenda facebook kamtag na mume wa mtu na kuwapa lawama wakati anajua kabisa huyo mke mtu wala hausiki maskini…
Alafu sasa ona alivyogeuza maneno eti kaambiwa yeye ndo katuma picha kwa huyo mwenye account instagram nitukanwe wakati nimemwambie yeye ndo mwenye account…hahahahha…..Chezea kukamatwa mchana kweupe….
Status hiyo akaweka fb na kumuaibisha huyo kaka na mkkewe for nothing wakati anajua kabisa hawauhisi…
Huyu dada ana wazimu ?????kha…
Basi baada ya kuweka hilo tangazo na ndani ya masaa matatu niliyompa
ALITOA POST ZOOOOOTE ALIZONITUKANA MIMI….HAHAHHAHAHA
AIBUUUUUUUUU, ETI MADAI YAKE HUYO MKE WA NANI SIJUI NDO MWENYE ACCOUNT SO ALIVYOWEKA ULE MKWARA
FACEBOOK ETI NDO ZIKATOLEWA POSTI ZANGU, HUYO MTU ANGEJUAJE KUWA ALITAKIWA KUTOA POSTI ZA MANGE?????
Shame on you missy TEMEKE, ushankupe gani huu jamani we dada, mtu mzima we mama jamani, kwenda kufungua account ya hivi mtu kama wewe
designer mkubwa hivyo (huyu na linda ndo matop designer wamarekani,hahahhaha). Shame on you…
Ila we dada sijakumaliza, yani wewe mnafki jamani, nimekuogopa, sasa ulikuwa unanichekea kumbe hunipendi that mucH?
Na sijakutukana wala kukuchamba sababu ulinisikiliza na kufanya nilichokuamuru ufanya in 3 hrs…..so I have to keep my end of the bargain….
Jamani hizi account za annony za instagram wala msidhani ni za watu wasiofahamika wenye account ni hawa hawa tunaochekeana nao kutwaa wala sio adui zetu who though mtu kama missy temeke anaweza kufanya mambo kama haya jamani….Dah, kani dissappoint sana huyu dada…..
Uwiiii,ila nimecheka jamani sasa the funny part about this story ni kwamba mchangiaji mkubwaaaa wa huiyo account ni mariahdushi aka linda ,mrsmalii sijui nani, yani Linda ndo mchangiaji wake number # ,alafu sasa yeye na linda ni paka na panya…hahahahhahahahha…wiiiii Linda ukome
unapenda kutukana insta mpaka sasa unachangia kwenye account za adui zako…hahahahhahaha….
Missy TEMEKE hivi Wema alikukosea nini?kwanini umetusi vile we mama jamani? kha! Huyo Zari unamjua?ushawahi hata kumuona live?
Ona sasa matatizo uliongia kisa ZARI. Ona sasa utakavyonekana kituko kisa ZARI….
Jamani this why sitaki ushoga na watanzaniaaaaaa, this is why, WANAFKIIIIIIIIIIII, yani mtu anakuchekea usini rohini anatamani akuue….
Ila Eliza sijui missy temeke ,una dhambi sana we dada, sana tena especially pale ulipoenda mtag mume wa mwenzio kumwambie mkewe isjui ndo anakuframe na huku unajua ni wewe mwenyewe…DAH NIMEKUOGOPA KAMA UKIMWI unaofnaya kuwatangazi wenzio…
We dada hivi ukimwi bado ni issue kwani? mshamba kweli we mwanamke, ukimwi kitu gani, utakufa wewe na utaawaacha hao wenye ukimwi .uwii mie nikipata ukimwi wala sioni tabu tena naishi marekani uwiii sifiiii mpaka najizeekea kina magic jognson wanaenda 20yrs na ukimwi wanao…kiruuu
YANI Huyu dada mshamba ukimwi anaona ndo ugonjwa wa kumtukania mtu?Bora mwenye ukimwi kuliko mwenye cancer au hata mwenye malaria kali maana hao waweza kufa wakamwacha huyo mwenye ukimwi miaka na miaka….
PS: LeMburulaz mnaosingiziaga watu ndo wenye account huko insta, NOW THIS IS HOW YOU FIND OUT WHO OWNS THE ACCOUNT……..
Ila missy temeke alitetemeka mno na kufuta kweli posti in 3hrs…lol….kha!!! Na nimeona nisimchambe sana

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname