Star kutoka Nigeria Davido alijikuta kwenye jukwa mmoja na mastaa wa
kubwa wa muziki kutoka Marekani kama Jeremiah, Young Buck na 5O Cent.
Jukwa hilo lilikuwa kwenye pool party na 50 Cent alikuwa akifanya
show pamoja na msanii Jeremiah. Common, DJ Mustard na Nicki Minaj.
No comments:
Post a Comment