Mose Iyobo anaetajwa kuwa Baba Kijacho naye alikuwepo.
Ni
post nyingine inayomuhusu mwigizaji Aunt Ezekiel ambaye ni mjamzito kwa
sasa na amekua akitajwa mapenzini na Moses ambaye ni dancer wa Diamond
Platnumz, May 9 2015 ndio baby shower imefanyika nje ya jiji la Dar es
salaam ambapo marafiki mbalimbali walijitokeza akiwemo Kajala.
No comments:
Post a Comment