23 May 2015

PICHA YA DIAMOND AKILA MISHIKAKI KITAANI YAWA GUMZO KUBWA!

Staa wa Nasema Nao, Nasibu Abdul ‘Diamond’ akila mishikika uswahilini. Picha hiyo ambayo ilipigwa mwaka mmoja uliopita maeneo ya Tip Top, Manzese jijini Dar, imeibua mjadala mpya juzikati kwenye mitandao ya kijamii ambapo wengine walimpongezakwa kitendo hicho wengine wakisema si cha hadhi yake.“Hii ni nzuri kwa mtu kama Diamond akila uswahilini. Anaonesha siyo mtu wa majivuno,” alichangia mdau mtandaoni huku wengine wakidai si sawa kwani anajiabisha.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname