26 May 2015

MKE WA MENGI AZUNGUMZIA MAISHA YAKE MAPYA KAMA MAMA,MKE, NA KUHUSU KUACHANA NA MUZIKI

-----Ni nadra sana kukutana na Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi maarufu kama K-Lynn lakini kupitia tuzo za watu tulifanikiwa kupiga story mbili tatu. K-Lynn ameiambia MEDIA kuwa maisha akiwa kama mama watoto wawili mapacha yamekuwa ya aina yake na anayafurahia kila sekunde.“Nimejifunza kuwa mvumilivu, nimejifunza upendo ambao sijawahi kujisikia kabla. Jinsi unavyompenda mtoto ni tofauti ambavyo unaweza kumpenda mtu yoyote yule katika maisha yako,”

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname