21 May 2015

MCHEZAJI WA YANGA NIYONZIMA ANATAKA KOCHA WA TAIFA STARS AFUKUZWE KAZI.


NOOJ]
Watu wengi wamekua na mitazamo tofauti kuhusu kocha Mart Nooij baada ya kuiongoza timu ya Taifa bila mafanikio (kwa mujibu wa watu mbalimbali). Kuna mtu mmoja ambae ni mtanzania anaeishi South Africa ame-comment kwenye ukurasa wangu wa facebook kwamba wamepata aibu kubwa wakati wanashangilia Taifa Stars kwenye bar moja huko South Africa
south
Lakini Haruna Niyonzima hakutana kuficha mawazo yake na ameamua kusema kwamba anataka vyombo vya habari vishinikize kocha Mart Nooij aondolewe kwenye nafasi yake ya ukocha wa Taifa Stars.
niyonzima

Wewe mawazo yako ni yapi?

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname