Kajala Masanja akionekana na jeraha usoni kipindi ambacho alikua amepigwa chupa. Maskini
Kajala! Ndivyo unavyoweza kusema ukisikia mkasa wa staa wa kiwango cha
juu kwenye tasnia ya filamu za Kibongo, Kajala Masanja ‘Kay’, ambaye
anadaiwa kwa hivi sasa hayuko sawa kiafya baada ya kupigwa chupa
kichwani akiwa katika shoo ya kumchangia mke wa msanii Mabeste
iliyofanyika New Maisha Club, Masaki jijini Dar.
Chanzo makini ambacho ni mtu wa karibu wa Kajala kimeliambia Ijumaa Wikiendakwamba, tangu staa huyo akumbwe na sekeseke hilo amekuwa katika kipindi kigumu kwani amekuwa akipata maumivu makali sehemu ya kichwani huku akianguka mara kwa mara.
Kajala
Masanja. Kilidai kwamba, pia Kajala amekuwa akipata kizunguzungu kikali
hivyo kujiona yupo kwenye hatari kubwa hasa ikitokea akaanguka vibaya
kwani anaweza kupoteza maisha.
BOFYA INAENDELEA HAPA
Chanzo makini ambacho ni mtu wa karibu wa Kajala kimeliambia Ijumaa Wikiendakwamba, tangu staa huyo akumbwe na sekeseke hilo amekuwa katika kipindi kigumu kwani amekuwa akipata maumivu makali sehemu ya kichwani huku akianguka mara kwa mara.
BOFYA INAENDELEA HAPA
No comments:
Post a Comment