22 May 2015

MASIKINI DADA HUYU ALIKUWA MZIMA ILA SASA TOFAUTI MAISHA YANABADILIKA


Mwanadada  alikuwa muigizaji mjini califonia anajulikana kwa jina la Rachel 
yapata sasa miaka 37 ila ametokewa na hali ambayo imemfanya kubadilika 
muonekano wake wote na kufanya kila aliyekuwa anamjua kushusha chozi na
 kuumia kwa hali aliyo kuwa nayo lakini licha ya kuwa hivyo lakini bado mpenzi 
wake ajamtenga na bado anaendelea kuwa naye kwa kila hali walimwengu 
wanasema hujafa huja umbika hakika nndo kilicho mkuta dada Rachel mungu amsaidie maana anasema mateso anayo yapata nimakubwa sana.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname