Nipo kwenye lindi la mawazo kuhusu housegirl wetu ambae nilimpa mimba
kwa bahati mbaya. Mimi nina mke na familia yangu huyu binti sasa anataka
nimfanyie kitu mbaya maana mimba hataki kuitoa na kuondoka kagoma na
muda unazidi kwenda mwishowe itaanza kuonekana
Sasa hivi anashinda kwenye TV tu na remote kazi hataki kufanya yote
tisa, kumi sasa juzi Jumamosi usiku katumwa kazi na wife unaambiwa
kamfanyia wife kiburi kisichosemekana katumwa akalete kitu dukani
akakataa live akaambiwa akapike akakataa, akaanza kuongea kwa mafumbo
huku akienda chumbani mimi nilikua bar kwenye mambo yangu.
Mdogo wangu wa kike ndio akazifanya zile kazi nyumba imekua very tense
bomu linaweza kulipuka any time wife anamwandalia pesa zake aweze
kuondoka maana kwa mawazo ya wife anadhani kwa kuwa hatujamlipa mshahara
miezi mitatu mfululizo ndio maana analeta kiburi kumbe ni mimba.
Sijui niongee na Chale akodi wavuta bangi! Wakuu kati yenu kuna mwenye
jawabu ya hili tatizo? Hivi kwanini huyu binti ananifanyia hivi!?
Kwanini asikubali kupokea hela akaondoka, kila nachomwambia hataki,
anasema eti nitamwacha, sasa Mimi simtaki tena, kwa nn tunalazimishana?
Wanaume wapo kibao why me? Wangapi wametoa mimba hawajafa? Mke wangu
mwenyewe alishika mimba huku tuna mtoto mchanga wa miezi sita mbona
aliitoa na hakufa? Sasa yeye ni nani hasa asitoe, mi naona nikodi wahuni
tufanye elimination method.
Wadau nyumba inaungua naomba kwa imani zenu wote mniombee naahidi
sirudii tena nikipona na janga hili maana wife wangu hanaga mchezo
kabisa na mambo ya uzinzi msg tu ya simu alitaka kuniacha huko
nyuma.Kuna mganga anaeweza kubadilisha matokeo ya tatizo kama hili?
By Navin-govind-JF
No comments:
Post a Comment