Kama
unakumbuka mmoja wa Wageni wa Party ya Zari all White Party pale
mlimani City alikuwa pia Mrembo Huddah Monroe , Lakini Pamoja na Kuweka
picha kwenye Instagram Akiwa Ameshatua Bongo kwa Party hiyo akiwa
hotelini pale Hyatt zamani Kempinski Mrembo huyo hakuweza hudhuria hiyo
Party ..
Sasa ubuyu uliopo mtaani ni
kuwa sababu za yeye kushindwa kuhudhuria party hiyo
ni mtoto wa Mahita
a.ka Tajiri mutoto, inasemekana walikutana pale Hotelini na kuanza
kupagawishana na kusahau kila kitu ..Mwendelezo wa hao wawili ulihamia
kwenye visiwa vya Zanzibar kama Picha zinavyoonyesha hapa chini kwenye
picha ambapo kila mmoja alikuwa akipost picha wakiwa kwenye
Boti..ukiangalia kwa makini hilo ni Boti Moja Japo Hawakupiga Picha ya
Pamoja...

No comments:
Post a Comment