"Kuna
mjinga mmoja anapenda sana kunichambachamba bila sababu nzuri! anasema
maziwa yangu kandambili ���� ni sawa tena sio kandambili tu ni ndala za
umoja- mama nimenyonyesha mwaka na miezi 7 halafu mm sio mtoto naelekea
miaka 32 sasa! sasa unataka yasimame mpaka lini ???
Basi itakua
maajabu maana ntakua sikui! Halafu mnapenda kuniambia mm mzee kwani kuna
tatizo ? Uzee nao ni step za kukua jamani mbona wajinga nyie ! Ina
maana wazee wa nyumbani kwenu huwa heshimu ? Mbona wazee ni watu muhimu
sana ktk jamii yetu? Ebena eee tafuta style nyingine hii sio zaidi
nakuona mshamba tu au mjinga flan amazing - kama unatafuta Kiki kuwa
mbunifu kidogo- basi

No comments:
Post a Comment