Shoo
hiyo iliyoacha gumzo la aina yake nchini humo kutokana na kupata idadi
kubwa ya mashabiki, ilifanyika Jumapili iliyopita katika Ukumbi wa Royal
Regency, maeneo ya Manor Park.
Chanzo chetu kilichoambatana na
msafara wa Diamond kwenye shoo hiyo ijulikanayo kama Diamond are
Forever, kiliweka bayana kuwa shoo hiyo ilikuwa ya kustaajabisha
(amazing) kwani ilikadiriwa kuwa na watu zaidi ya 1500 ambao ni Wabongo
waishio nchini humo waliochanganyika na wazungu.
No comments:
Post a Comment