BREAKING NEWZZ...AJALI YA BASI LA SUPER FEO TOKA MBEYA KWENDA SONGEA LATUMBUKIA MTONI

Basi LA Super Feo la Mbeya Songea latumbukia mtoni Leo asubuhi.
Superfeo ya kutoka Mbeya kwenda Songea inetumbukia mtoni baada ya
kuovertake na kukutana na lori mbele yake kisha kudumbukia mton karibu
na eneo la Pipeline Inyara. Taarifa zaidi zitafuata kadri tutavyoweza
kuzipokea.
No comments:
Post a Comment