10 May 2015

BREAKING NEWSSS...MTOTO WA MWALIMU NYERERE AFARIKI DUNIA--

Poleni wafiwa. nadhani ni huyo katikati kwenye picha.




John Nyerere, mtoto wa nne wa Mwl. Nyerere, amefariki dunia jana katika Hospitali ya Taifa, Muhimbili alikokuwa amelazwa. - John alikuwa ni rubani mahiri wa ndege za kivita (Jet Fighters)

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname