27 May 2015

AGNESS MASOGANGE: WABUNGE WAWILI WA TZ WANANISUMBUA KIMAPENZI KILA KUKICHA!



VIDEO Queen, mwenye umbo la aina yake, Agness Gerald ‘Masogange’ amefunguka kwa kinywa chake kuwa wabunge wawili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wanamnyima
usingizi kwa kuwa wanamsumbua kila kukicha wakimtaka kimapenzi.Video Queen, mwenye umbo la aina yake, Agness Gerald ‘Masogange’. Akizungumza na mwandishi wa habari hii Masogange alisema usumbufu wa viongozi hao unamkosesha amani.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname