26 April 2015

WEMA ATOA SABABU ZA KUHITAJI MTOTO WA KIUME!!


Kupitia ukurasa wake mtandaoni Wema Sepetu ambae hivi karibuni aliweka wazi tatizo lake la kutoweza kushika ujauzito, jana usiku ameibua tena hisia za mashabiki wake baada ya kuweka picha akiwa na mtoto wakike,Sasha aliedai kuwa huyo ndiye kipenzi chake cha maisha
na kusisitiza kuwa hiyo ndio sababu ya yeye kutaka mtoto wakiume kwani tayari anaye mtoto wa kike.SOMA ZAIDI>>

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname