SABABU ZA KUTOMTAMBULISHA MPENZI WAKE OMMY DIMPOZ AFUNGUKA LIVE
'Sijapenda kuweka wazi sana swala la mahusiano kwasababu inatakiwa mimi
niweze kuwa na uhakika kwamba huyu ambaye namtambulisha kwa wananchi ni
kweli wakati umefika, kwasababu leo unaweza ukawatambulisha huyu baada
ya siku tatu mambo hayaeleweki ukatambulisha mwingine, kwahiyo mwisho wa
siku utaonekana kijana unatumia nafasi yako kuweza kuchezea watoto wa
kike, kwahiyo najaribu kuwa makini kwa hilo lakini kipindi kitakapofika
watu wataweza kufahamu kama Ommy ‘bae’ wake ni yupi' alimaliza
No comments:
Post a Comment