Shetta amekiambia kipindi cha Ala za Roho cha Clouds FM kuwa Mama Qayllah amekataa kurejea nyumbani licha ya kumletea zawadi ya gari ambayo alimuahidi kipindi cha nyuma.
“Yeah nimemnunulia gari mpya lakini amelikataa,” alisema Shettah. “Hili gari nilimuahidi nimtamnunulia toka zamani na lilikuwa njiani sasa limeingia na nimelichukua wakati yeye hayupo nyumbani. Nimemwambia gari lake lipo tayari lakini amekataa. Mama Qayllah hayupo nyumbani, mimi kama ananisikiliza naomba arudi nyumban
No comments:
Post a Comment