28 April 2015

Meneja wa Wema Sepetu amekusogezea taarifa hii mpya kuhusiana na Wema

CEO wa Endless Fame Wema Sepetu amekula donge nono la kuwa balozi wa hospitali ya kimataifa ya macho kwa muda wa mwaka mmoja...
Kupitia ukurasa wa Instagram meneja wa msanii huyo @martinkadinda alipost picha ikiambatana na maneno haya...
 "Mrembo wa Tanzania, muigizaji na mjasiriamali Wema Sepetu, Amesign makubaliano ya kuwa Balozi wa Hospital Ya Kimataifa Ya macho Iliyopo Ali hassan mwinyi Road katika jengo la Tropical House…..#mkataba huu wa ni wa mwaka mmoja.. Wema amehaidi kuwa balozi wa hospitali hiyo iliyokuja na mitambo mpya ambayo itawezesha vijana wenye umri chini ya miaka 35 wanaotumia miwani kuacha kabisa utumiaji wa miwani kwakuwa wanauwezo wa kuondoa swala la uvaaji miwani kwa vijana.."

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname