29 April 2015

Jokate:Kuna Mtu Namtamani Sana Kimapenzi na Ninamvutia Kasi Nimpate


Jokate:Kuna Mtu Namtamani Sana Kimapenzi na Ninamvutia Kasi Nimpate 
Staa  mrembo wa Bongo Movies na Bongo Fleva ambaye pia  mwanamitindo na mjasiliamali  Jokate Mwegelo 'jojo' au Kidoti amefunguka kuwa kuna mtu anamtamani sana kimapenzi na anamvutia kasi kumpata

Akizungumza  kwenye show weekend “the playlist”  ndani ya studio za Times FM, Kidoti, alisanuka hayo akihusisha ukweli huo na kile alichokiimba kwenye hit single yake “Leo leo” na Ice Prince

“Yah nyimbo inahusiana coz kuna mtu namtamani sana yani, ila akizingua tu nambwaga bado namuangalia” alisema Jojo

Hata hivyo Jocate hakuwa tayari kumtaja mtu huyo anayemvizia.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname