JOH MAKINI AMEACHIAA VIDEO YAKE MPYA ALIYOIFANYA SOUTH AFRICA INAITWA “NUSUNUSU”
Ni staa
wa hiphop kutoka Tanzania ambae mwaka 2015 umepewa baraka nyingi kwake
ikiwemo video yake ya XO kuanza kuchezwa kwenye TV kubwa ya Nigeria
(Sound City) lakini pia time hii karudi kwenye headlines na video yake
mpya ya #nusunusu.
No comments:
Post a Comment