22 April 2015

HAYA NDO MAISHA YA KIFAHARI AISHIYO SAMUEL ETOO NJE YA UWANJA ....JEURI YA PESA

3
Tuendelee kuangalia maisha ya mastaa wa soka nje ya uwanja. Baada ya kumcheki Adebayor, leo ni zamu ya mtoto wa uswazi Etoo aliyegekuka kuwa wa  kishua. Ugonjwa mkubwa wa Etoo ni magari ya kifahari, gereji ya Etoo ina Bugatti, Masserati, Ferari, Rolls Royce na mengine.
1

2
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname