Basi la Abood limegongana na basi la Takbir
Kumetokea ajali asubuhi hii saa 8:48 am maeneo ya Mikese kijiji
cha Fulwe kati ya basi la Aboud na Takrbir baada ya ku-overtake, yote
yakitokea Morogoro kuja Dar, na kusababisha folen kubwa ya magari kwa
zaidi ya saa moja
No comments:
Post a Comment