siri ya nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul
‘Diamond’ kuhamia kwenye mjengo wake wa kisasa uliyopo Tegeta -Madale
jijini Dar imevuja huku ikitajwa kuwepo na vionjo vya ushirikina.
Chanzo makini kimeliambia Amani kuwa, licha ya kumalizika kwa mjengo
huo, lakini Diamond alikuwa akikataa kuhamia kutokana na umbali kutoka
huko hadi mitaa aliyoizoea lakini shinikizo lilikuja kutoka kwa mpenzi
wake wa sasa, Zarina Hassan ‘Zari’ ambaye tangu aliponasa ujauzito
amekuwa akitamani kuwa karibu na mpenzi wake huyo ila ilikuwa
ikishindikana kufuatia mazingira aliyokuwa akiishi mwanzo Diamond,
Sinza-Mori, Dar.SOMA ZAIDI>>
No comments:
Post a Comment