02 March 2015

Top 30 ya wasanii wa hip-hop matajiri duniani

Wanamuziki-wa-hip-hop-matajiri-duniani-copyright-vibe-co-tz

10 .  Snoop Lion  ($135 million)
juzi kati alikua anaitwa  Snoop Dogg lakini kwasasa yupo katika harakati za kubadilika kuwa msanii wa miondoko ya   reggae huku bado akiendelea kuingiza pesa kutokana na shughuli mbalimbali kama  album sales, touring na mikataba ya kibiashara.
snoop-lion
09. Lil Wayne ( $135 million)
Rapper huyu kutoka Cash Money Records amemake kwenye list hii japokua hutumia pesa nyingi kulipa faini mahakamani. Wayne pia anaingiza pesa kutokana na record label yake ya Young Money.
lil-wayne
08. Ice Cube ($140 million )
Ice cube ni rappper , actor na producer. Ice Cube ametoka kua West Coast gangsta rap hadi kua katika list ya  most powerful people in Hollywood today.
ice-cube
07. Eminem ( $160 million)
Eminem ni multi-platinum selling hip-hop artist. Mwaka  1997  aliachia album yake ya  The Slim Shady EP ambayo ilimfanya Dr. Dre amchukue na kufanya kazi naye kazi. Utajiri wake unatokana sana na muziki anaoufanya.
eminem

06 . Birdman ($170 million)
Mmoja kati ya wamiliki wa record label ya Cash Money ingawa kilichomfanya awe katika nafasi hii ni mauzo ya kinywaji chake aina ya Vodka.
birdman
05. 50 Cent ($270 million)
50 ni rapper na mjasiriamali pia.  50 amepata utajiri wake kutokana na mikataba ya kibiashara aliyonayo na mauzo ya nyimbo zake. Tokea alipotoka kwa mara ya kwanza na album yake ya Get Rich or Die Trying , 50 amekua katika list hizi ever since.
50-cent
04. Master P ( $350 million )
Master P ni mkogwe wa Rap, Mjasiriamali na film producer pia. Miaka ya 1990 , jamaa alijenga  hekalu lake la biashara. Hekalu lililohusisha rap labels mbalimbali, clothing line , management company , travel agency , film production company na video production company.
master-p
03. Dr. Dre ( $450 million )
huyu ni rahisi kuelezea. Tengeneza headphones set za quality ya kawaida, pandisha bei yake kwa asilimia 900 na kisha wape watu maarufu wazivae na kuuza nazo sura. Hapa ndipo patawafanya watu kutaka kuhisi muziki wa headphones hizi na mwisho kumtajirisha Dr. Dre
drdre
02 . Jay Z ($550 million )
Anaweza asiwe wa kwanza lakini bado dola millioni 43 za kimarekani ni bonge la mkwanja !! Akiwa ni mfanyabiashara halisi, Jay Z kawaida ufikiria kitu kipya. Dili la dola za kimarekani milioni 5 alilosign na kampuni ya samsung imemuongezea pesa nyingine zikiwe ni mauzo ya kinywaji chake cha Armand De Brignac .
Jay-Z
01 . P. Diddy ( $650 million)
Hii inakuaje ? P. Diddy hajasikika tokea alipobadilisha jina lake kuwa la kitoto. Kinywaji cha Ciroc vodka ndio kimempa ulaji. Diddy anaweza akashukuru kupata pesa nyingi kutokana na mafanikio ya kinywaji chake na pia record label yake ya Bad boy na clothing line yake ya sean Jean ambayo iliuza sana kipindi cha zamani.
pdiddy
Usidhani tumesahau kwamba hii ni top 20, basi wengine walioshika namba 11 hadi ishirini ni hawa hapa na utajiri wao kwenye mabano.
11. Kanye West ($120 million )
12. Pharrell Williams ( $110 million )
13. LL Cool J  ($100 million)
14. Timbaland  ( $85 million )
15. Akon ($80 million )
16. Beastie Boys ( $75 million kila mmoja )
17. Nelly ($60 million)
18. T.I. ($50 million )
19. Pitbull  ($50 million )
20. Nicki Minaj ($45 million)
21. Andre 3000  ($45 million )
22. Drake ( $40 million )
23. Ice-T ($40 million )
24. Big Boi  ($40 million )
25. T-Pain  ( $35 million )
26. Rick Ross  ($35 million )
27. Busta Rhymes  ($30 million )
28. Flo Rida  (  $30 million )
29. Ludacris ( $25 million )
30. Chris Brown ( $24 million

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname