nanukuu
maneno haya ya umbea kutoka kwa moja ya shabiki wa mwanadada wema
sepetu anayejulikuna kwa jina la dougiemasta hii ni tarifa ya habari
kutoka kwenu radio mbao hahahah kumbe bibi yenu kutoka kwa mseven jana
usiku alichafua hali ya hewa duo.safari yake kwenda nairobi kumbe
amelipwa $1000 mseven umefikia stage hii.halafu hiyo mimba yake inakuwa
kubwa kutokana location mara flat screen mara tumbk ilooo huyu mseven
msanii sana.wema alipo mlete omotola alimlipa $20000 cash.sijawai kuona
bosslady analipwa ili akachekeshe watu are you a
comedy
.kali kabisa pale aliposema yye kwenda nairobi ilimbidi achukuwe hela
kwenye bank account ya watoto wake ilianunuwe nguo na viatu wakati hela
hiyo imewekwa na ivan kwa ajiri future za watto wake.ssa huyu ni mama wa
aina asije jari future za watoto wake kwaiyo unataka kusema kuwa
diamond anashindwa kukutumia hela za matumizi? au ulikuwa unatafuta
follower kama kawaida yako ssa napata jibu alichokisema kaka yako hivi
ZEE's KWANJALU WAS SUCH A WASTE OF TIME N MONEY ZARI FAMILY WANAJUTA SSA
LK WASIJARI MBONA DOMO UPO VIZURI KTK MAISHA ATATUNZA WOTE .kwanini
alikata kusema cchote kuhusu diamond ngachoka mie huyo uko kote kapita
wanakuangalia unavyojishaua HALAFU SINTAH MBAYA YAANI KASHAMUONESHA
MSEVEN K.KOO ILE TOP YAKE MIE HOI
No comments:
Post a Comment