23 March 2015
Post ya Siwema kuhusu Nay wa Mitego kumchukua mtoto wake, sababu ni nini,viko hapa.
Kupitia mitandao ya kijamii tumekuwa tukijifunza kuhusu mahusiano ya msanii May wa mitego na mpenzi wake wa muda mrefu Siwema. Hivi karibuni Siwema aliweka Post kwenye kurasa yake ya Instagram kuwa mtoto wao ‘Curtis’ aliyeminika kuwa ni wa Nay wa Mitego sio wake ila ni Obasanjo‘ .
Siwema amakuwa akilalamika kuwa Nay wa Mitego anasema uongo kuhusu yeye na mapenzi yao, haka kusema anamnunulia vitu kama magari ya kifahari na nyumba.
Hichi kilikuwa kwenye kurasa ya instagram ya Siwema .
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment