Siku ya jana ilifanyika bonge la sherehe ndani ya MOG bar
&restaurants zamani nyumbani lounge, ilikuwa ni meneja wa staa Wema
Sepetu, Martin Kadinda alikuwa akisherekea siku yake ya kuzaliwa,
Mastaa na watu wake wakaribu walikuwepo ndani ya nyumba.
Jionee baadhi ya picha za tukio zima hapo juu.
No comments:
Post a Comment